Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2017

CHANJO YA KUZUIA MAFUA YA KUKU ( INFECTIOUS CORYZA)

Chanjo hii inajumuisha chanjo mbili, infectious coryza ( mafua ya kuku) na Salmonela enteritidis ( Mharo kwa kuku Chanjo hii inaweza kuchanja kuku 1000 Dalili za ugonjwa huu  Huathiri kuku wa angalau miezi 2 (wiki 8) na kuendelea  macho huvimba na kutokwa na machozi kuku hutokwa na makamasi puani Macho huzimba na kutoa kitu cha rangi kama jibini kwa ndani Chanjo zipo za namna mbili 1: Vial za dozi 1000, bei tsh 240,000 2: Divided doses za 100,  bei 25,000 ( hii ni kwa ajili ya mfugaji tu, tunakuuzia kama sehemu ya matumizi sio ya kuuza , not offically authorized Huduma ya chanjo unalipia nauli na chakula na kununua chanjo no extra cost Wasiliana nasi kwa simu: 0757907861 au 0673305636

RATIBA YA KUTOA CHANJO KWA KUKU

  Ratiba inayotumika sasa kwa ajili ya kuchanja kuku . Fungua link hii kupata ratiba hii. https://drive.google.com/open?id=0B4chh-e_peqZWnZZS0gybUlaSU0

JARIDA LA AFRIVET FARMING MAGAZINE

Jarida la Ufugaji la  AfriVet Farming magazine. Fuata link hii kusoma jarida kila jumamosi https://drive.google.com/file/d/0B4chh-e_peqZS01RQ0dFQ0Z4bUU/view?usp=sharing