Chanjo hii inajumuisha chanjo mbili, infectious coryza ( mafua ya kuku) na Salmonela enteritidis ( Mharo kwa kuku
Chanjo hii inaweza kuchanja kuku 1000
Dalili za ugonjwa huu
Huathiri kuku wa angalau miezi 2 (wiki 8) na kuendelea
- macho huvimba na kutokwa na machozi
- kuku hutokwa na makamasi puani
- Macho huzimba na kutoa kitu cha rangi kama jibini kwa ndani
Chanjo zipo za namna mbili
1: Vial za dozi 1000, bei tsh 240,000
2: Divided doses za 100, bei 25,000 ( hii ni kwa ajili ya mfugaji tu, tunakuuzia kama sehemu ya matumizi sio ya kuuza , not offically authorized
Huduma ya chanjo unalipia nauli na chakula na kununua chanjo no extra cost
Wasiliana nasi kwa simu:
0757907861 au 0673305636
Comments
Post a Comment