Moja ya vitu vinaongezwa katika Chakula cha kuku ni premix. Hizi zinaweza kuwa ni mchanganyiko Wa vitamini, madini, vikuzi kama homoni, vvizuia magonjwa kama cocciostats . Vitu hivi vya muhimu katika mwili Wa kuku katika ukuaji na uzazi Wa kuku. AfriVet tunakuletea kijitabu kidogo lakini kichosheheni jinsi ya Kutengeneza premix za aina zote kwa ajili yako: Aina za premixes ni: 1: Chick premix - kwa ajili ya Vifaranga 2: Broiler premix- kwa ajili ya kuku Wa nyama 3: Layers premix-kwa ajili ya kuku Wa Mayai 4: Breeders premix- Kwa ajili ya kuku wazazi au kuku wanaotaga Mayai kwa ajili ya kutotolesha Kijitabu ni siri za kiwandani zimeanikwa hapa. Kwa wajasiriamali wanaotaka Kutengeneza bidhaa na Kuuza ni wakati wenu. Lakini kwa mfugaji mmoja Jipatie kitabu hiki kwa tsh. 20,000. Ni kidogo lakini kina siri za kukupeleka level nyingine ya Ufugaji Malighafi ni rahisi na zinapatikana
This is the official blog for AfriVet Care Tanzania Services and products. Get the latest information on farming and agriculture