Ukosefu au upungufu Wa vitamin A kwa kuku ( Avitaminosis A, hypovitaminosis A , Vitamin A deficiency)) kwa kuku.
Tatizo hili Mara nyingi hufananishwa na mafua hasa infectious coryza, mycoplasmosis na fowl cholera lakini zaidi sana kwa infectious coryza.
Ugonjwa huu husababishwa na ukosefu au upungufu Wa vitamin A na huathiri zaidi vifaranga Wa wiki 1-7
Vifaranga husiziasinzia, hukosa hamu ya kula, hudumaa kukua, hutoa makamasi na machozi puani na mdomoni. Macho huvimba na kuziba na ndani hutengeneza vitu vyenye rangi ya jibini ( cheese)( dalili hizi hufanana na infectious coryza kabisa)
#Namna ya kutofautisha
1: Infectious coryza huanza kuathiri kuku Wa wiki 8 na kuendelea wakati upungufu Wa vitamini A huathiri zaidi vifaranga Wa chini ya wiki 7 na uwezekano hupungua kwa kuku wakubwa.
2: Infectious coryza kuku wengi huugua. Ni ugonjwa Wa kuambukiza kwa hiyo zaidi ya asilimia 80 ya kuku wanaweza kuugua wakati upungufu Wa vitamini A ni kuku kadhaa huweza kuugua
#Tiba
Safisha macho na wape vitamin A.
#Kinga
Wape vitamini premix yenye vitamini A kwa muda wa wiki 2 mfululizo toka Siku ya kwanza. Kuku wakubwa wape majani

Comments
Post a Comment